Tuesday, November 8, 2011

MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA....MIAKA 50 YA UHURU!

Kweli tutakuwa na maisha bora kwa kila mtu Tanzania?.....Lini?
Mama huyu alikutwa katika moja ya visima vya kienyeji katika Jiji la Mbeya, akichota maji ya kunywa kwa shida huku wenzake nao wakimsubiria na wao waweze kuchota.
Hali hii ya kusikitisha sana, kama mpaka leo Wananchi Watanzania maji bado ni kitendawili ambacho hakijulikani nani atakitegua. Tanzania ni nchi ambayo ina mito mingi sana, maziwa mengi sana tena makubwa tu! na vilevile chem chem pia zipo maeneo mbalimbali ya nchi yetu. Iweje sasa watu wanateseka sana kwa shida ya jambo hili la shida ya maji?

No comments:

WATEMBELEAJI