Thursday, January 22, 2015

KARIBU VICTORIA KATI YETU HAPA MAKALALA CHILDREN'S HOME.

 Mama mlezi wa Makalala.
 Shangazi mtu.



 Baba mzazi na shangazi wa Vick.

 Wanandugu.
 Filipho Kamoga.
Safari ya kwenda Kijijini kwa akina Vick, kwenda kumchukua.

Karibu sana mtoto Victoria kati yetu hapa Makalala, baada ya kifo cha Mama yako.....sasa utapata Mama wengine walezi wanaokupenda sana. Karibu sana Makalala.

No comments:

WATEMBELEAJI