Wednesday, July 27, 2016

MWANAMZIKI MKONGWE NA MAARUFU SANA KOFFI OLOMIDE ACHEZEA KIFUNGO CHA MIEZI 18 JELA BAADA YA KUMPIGA TEKE MNENGUAJI WAKE!



Mahakama ya Kinshasa, nchini Congo...imemhukumu mwanamziki mkongwe na maarufu Koffi Olomide miezi 18 jela, kwa kumpiga teke mnenguaji wake wa kike wiki iliyopita huko nchini Kenya.

Hukumu yake hiyo haina adhabu mbadala ya kulipa faini, ni kutumikia tu jela hiyo miezi 18.

No comments:

WATEMBELEAJI