Tuesday, June 15, 2010

ADHA YA MAJI.....MPAKA LINI???

Ni maji ya mto; tunaoga, tunaoshea vyombo, tunafulia nguo na pia tunakunywa.
Kijiji cha Kipera, Kata na Tarafa ya Mlali, Wilaya ya Mvomero, Mkoani Morogoro hivi karibuni.

(Mroki Blog).

No comments:

WATEMBELEAJI