Hii nilikutana nayo kwenye; MICHUZI BLOG, mda kidogo umepita napenda kuweka hata hapa Kijiweni kwetu, jamaa alisema hivi;Hujambo kaka Misupu. Nipo vekesheni Dodoma na nimejionea mambo mengi ambayo nitafurahi wadau wakiyaona pia.
Huyu hapa mwanafunzi ambaye nilimkuta shule moja ya msingi Dodoma, ni mlemavu wa mikono na miguu, ila anatumia mguu wa kulia kufanya shughuli zake, ikiwa pamoja na kuandika.
Anaetaka kumsaidia tuwasiliane; +255 787 771414. au +255 715 771414.
Mdau wa kweli kweli; Godfrey George Kyoko.
No comments:
Post a Comment