Tuesday, June 15, 2010

TUNASIMAMISHA NGUZO!

Mafundi wa TANESCO wakiwa kazini eneo la DDC mjini Morogoro hivi karibuni.

-Kwakweli bado tupo mbali sana, sasa angalia hapa na hatari kama hii. Kweli Shirika kubwa kama TANESCO linakosa vitendea kazi mhimu?? Kama Wichi za kunyanyulia nguzo kama hizi???
Hebu jaribu kufikiri nguzo kama hii ikiwashinda hawa jamaa au kuwaponyoka, itawaacha kweli?? na huwa inatokea mara nyngi tu,....si inabaki kuwa ni vilio tu na kusema bahati mbaya, bahati mbaya ya wapi??

No comments:

WATEMBELEAJI