Monday, July 12, 2010

UZALENDO UNAPO SHINDIKANA KUWA NA MCHUMBA MWANDISHI.

Golikipa wa Span Kasillas, uzalendo ulipo mshinda wakati akihojiwa na mtarajiwa wake ambae ni mtangazaji wa TV na kumpa makiss live ndani ya TV mwenzake akiwa kibaruani na kumwacha na aibu kidogo, maana hakutarajia hivyo.

No comments:

WATEMBELEAJI