Friday, September 17, 2010

VIBAKA WANAPOSURUBISHWA NI HAKI KUFANYA HIVI???



Dunia ya leo hakuna imani tena, ubinadamu umetoweka kabisa!
Huu ni unyama mkubwa sana, kujichukulia jukumu la kuuwa wenzetu kwa namna hii, utafikiri sisi ni wakamilifu wakutosha. Mimi najua kuwa kweli vibaka wana kera...lakini si kuchukua jukumu zito kama hili kwa kuwakatili kwa kuwachoma moto. Hebu tujiulize hata sisi sio wezi wa kitu fulani...je tufanyiwe hivi tutakubali???

No comments:

WATEMBELEAJI