Monday, October 18, 2010

BAISKELI MAPAMBO BWANA.....


Mwananchi ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, akiendesha baiskeli yake aliyoipamba kwa mfano wa aina yake, huku akiwa amezingatia sheria za usalama barabarani kwa kuvaa kofia ya usalama kichwani (Helmet) na kuifanya baiskeli hiyo kuwa kivutio kikubwa. Picha hii ya leo leo katika mtaa wa Samora, Jijini Dar es salaam.
-Picha na Maelezo, Aron Msigwa.

No comments:

WATEMBELEAJI