Sunday, October 17, 2010

MWAKA JANA KATIKA KUMKUMBUKA MWALIMU NYERERE-MWANZA.






Hapa ilikuwa mwaka jana katika Nyerere Day, huko mkoani Mwanza na Musoma. Mwaka huu kama vile shamra shamra za kumkumbuka Mwalimu Baba wa Taifa letu zimepungua kasi, sijui ni hisia yangu tu! Au kwasababu ya mambo ya uchaguzi yamefanya kasi ipungue? Utakumbukwa daima Baba wa Taifa letu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.


No comments:

WATEMBELEAJI