Monday, October 18, 2010

WADAU WA FOTOBARAZA WAKUTANA A -TOWN.

PAMOJAH;

Wadau wa Fotobaraza wakutana Arusha, kutoka kulia ni Lucie Andrew Minja, kati ni mkuu Jr.Michuzi na dada yetu mpendwa kushoto, jina hatukulipata.

Fotobaraza imetuunganisha sana wadau wengi Tanzania na hata nje! Safi sana wadau kwa kukutana kwenu. Pamoja daima!

No comments:

WATEMBELEAJI