Tuesday, October 12, 2010

WIZI HAUFAI KABISA....NA SISI TUNAO JICHUKULIA UAMZI HUU JE?

Sijui inakuwaje baadae unapokuja kuambiwa mshkaji kafa, halafu watu wanakuuliza ''hivi aliiba nini vile?'' Jibu unakuta hunalo, kuna watu wengine wakisikia mwizi tu! wanakurupuka tu kwenda kupiga, ''piga uwa'' kuna watu wanapiga mwizi bwana wacha mchezo kabisa, ndio sifa yake hiyo. Hawa jamaa wanaonekana walipoona kamera ndo wakazidisha kichapo. Dah!! Hivi wewe ni mkamilifu sana mpaka umhukumu mwenzio hivi???

No comments:

WATEMBELEAJI