.....NI WAJINGA SANA, WEWE TU NDIE MJANJA NA MWENYE HARAKA SANA MPAKA UNASABABISHA AJALI NA KUUMIZA WATU WASIO NA HATIA YOYOTE. INANIKERA SANA HII, HATA KWENYE FOLENI...UNAKUTA WATU WANAFUATA SHERIA NA KUWA KWENYE MSTARI, LAKINI UTAONA WENGINE WANAPITA PEMBENI PEMBENI, NDO UJANJA HUO, WENGINE KUWAFANYA WAJINGA. MARA NYINGI HUSABABISHA AJALI KAMA HIZI ZA KIPUUZI. ACHENI HIZO!
No comments:
Post a Comment