Friday, April 13, 2012

AWAMU YA KWANZA YA SAFARI TAYARI, SASA NASUBIRI YA PILI.


Awamu ya kwanza ya safari yangu ya kuelekea Tanzania, sasa tayari......imebaki awamu ya pili na ya tatu.
Bologna - Roma......tayari! Usiku huu itakuwa ni Roma - Dubai. Na kesho asubuhi Dubai - Dar es salaam. Naomba sana sala zenu nifike salama.....asanteni sana!

No comments:

WATEMBELEAJI