Monday, April 9, 2012

MATEMBEZI NYUMBANI KWA RAFIKI YANGU MPENDWA ISABELLA.

Mtoto wa rafiki yangu wa kwanza kabisa hapa Italia,. Isabella, ambapo tumebaki na urafiki mkubwa sana.......mtoto mzuri Federica.
Rafiki Isabella na mwanae Federica.
Zawadi yangu kwa Federica.
Matembezini katika mashamba ya Isabella na Franco.
Nikichukua kozi kidogo ya kulea.

Nyumbani kwa rafiki mpendwa sana Isabella.
Baba Franco, akiwa na mtoto wake mpendwa Federica....katika matembezi ya mashambani. Haya yote ni mashamba ya Franco na Isabella.
Federica.....akipata msosi wake wa nguvu.
Pamoja na Federica, Isabella......nyumbani kwao Poggio - Forlì.

No comments:

WATEMBELEAJI