Friday, April 13, 2012

NAPE NA VICKY KAMATA, WAZURU MNARA WA SOKOINE.


Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Mh.Nape Nnauye na Mbunge wa viti Maalum (CCM) Mh.Vicky Kamata....leo wamezuru Mnara wa kumbukumbu ya aliyekuwa Waziri Mkuu, Marehemu Edward Sokoine, eneo la Morogoro.......ambako alifariki dunia katika ajali ya gari. Pichani Nape na Vicky......wakisoma maandishi kwenye Mnara huo. Walikuwa wanatoka Dodoma kwenda Dar es salaam.

- Picha na Bashir Nkoromo.

- Safi sana Waheshimiwa, hongera zangu nyingi sana kwa kuonyesha moyo wa heshima kwa Marehemu Sokoine, kwani viongozi wengi hupita tu bila hata kusimama katika eneo hilo la Sokoine....Nape na Vicky, muwe ni mfano wa kuigwa kwa viongozi wengine, katika swala hili zuri la kusimama na kutoa heshima.

No comments:

WATEMBELEAJI