Thursday, December 17, 2015

KUTOKA SOGLIANO, ITALIA......SIKU KAMA YA LEO YA TAREHE 17/12/2011, NDIPO MAMA YETU MPENDWA HUYU, MAMA PIA ALIPOTUAGA HAPA DUNIANI. HIVYO NI SIKU YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHAKE MAMA PIA.

 Ni miaka sasa minne toka umetuacha Mama Pia, kamwe ninakukumbuka sana sanaaa....!!!! Ni mama aliyenisaidia sana hapa nchini Italia kwa mambo mengi sana, hivyo alikuwa kama mama yangu. Leo nimepata nafasi ya kwenda alipozikwa kwenda kusali kwa kumbukumbu ya Mama huyu mpendwa sana Pia. R.I.P Mama Pia Giovannini.




 Hapa ndipo alipolala Mama Pia Giovannini.






Makaburini Sogliano, Italia.

No comments:

WATEMBELEAJI