Moja ya wakuu wa kituo hiki, Filipo Kamoga huyu hapa!
Kibao chetu sasa kimeng'aa....baada ya kufubaa kwa muda mrefu.
Watoto wetu wa awali hawa hapa; kutoka kulia ni Mama Lilly, Peter, Quin na Acrey.
Watoto wetu wakipata msosi.
No comments:
Post a Comment