Wednesday, February 17, 2016
MAMA JANETH MAGUFULI, MKE WA RAIS WETU MAGUFULI.....AAGA RASMI WALIMU WENZIE NA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI YA MBUYUNI DAR ES SALAAM AMBAKO ALIKUWA AKIFUNDISHA. ZOEZI HILI LIMEFANYIKA LEO HII.
Mke wa Rais wetu wa Tanzania, Rais Magufuli....Mama Janeth Magufuli alipowaaga rasmi leo walimu wenzie na wanafunzi wake wa shule aliyokuwa akifundisha ya Oysterbay, Jijini Dar es salaam kwa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi.
Shule hii ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi darasa la saba.....kabla hajarudi tena hapo hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo.
- Hongera sana Mama Janeth kwa kwenda kuwaaga na kuwajali hadi kuwatembelea, tunaomba sana usiwasahau walimu wenzio, uwe mtetezi wa walimu wenzio.....na wanafunzi pia hasa elimu ya msingi.....ndio msingi wa Taifa letu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment