Wednesday, September 9, 2009

CHAKULA CHA MWISHO TANZANIA NA MARAFIKI.

Tukiagana agana, kwa chakula cha usiku na marafiki wapendwa huko Dar es salaam kabla sijarudi huku Italy. Ilikuwa ni furaha sana, na huzuni kuondoka nchini kwangu Tanzania baada ya kumaliza likizo yangu.

No comments:

WATEMBELEAJI