Fahari yetu ya nchi yetu ya Tanzania kuwa pia na matunda mengi, angalia hapa maananasi kwa wingi sana, hii ni bahati sana. Maana kwa nchi nyingine matunda ni shida sana wanayasikiaga tu! na mpaka yawafikie yanakuwa yamepungua hata ladha yake na kupoteza vitamini vingi. Je sisi watanzania tunakula matunda haya ipasavyo? au mpaka tuambiwe na daktari?
-Baraka.
No comments:
Post a Comment