Tuesday, October 13, 2009

TUNAKUKUMBUKA SANA BABA YETU MPENDWA WETU WA TAIFA LETU LA TANZANIA MWL.JULIUS KAMBARAGE NYERERE. 1922-1999.


Tunakukumbuka sana Mwalimu Nyerere, baba yetu na mpendwa wetu wa Taifa letu la Tanzania. Ni miaka kumi sasa toka ututoke hapa duniani, tunakukumbuka na tutaendelea kuku kumbuka daima kwa hekima na busara zako Mwalimu. Asante sana kwa hekima na busara zako kwa Taifa letu.
HESHIMA YA MTU NI UTU WAKE, SI MALI WALA CHEO.
-BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE.

No comments:

WATEMBELEAJI