BALAA HILI LILITOKEA HUKO MKOANI MBEYA LAKINI SALAMA KWA WASAFIRI.
LIKITEKETEA HIVIHIVI WAKILIONA. MWENYE GARI HAPO TUMBO JOTO.
KIKOSI CHA ZIMA MOTO...LAKINI HAMNA KILICHO SALIMIKA.
BALAA...LAKINI SALAMA, MAANA HAKUNA MTU ALIYE POTEZA UHAI WAKE WALA KUUMIA KATIKA AJALI HII YA MOTO KATIKA DALADALA HILI HUKO MKOANI MBEYA NI BAHATI SANA. ILA LENYEWE KWISHA KAZI! SASA SIJUI TAJIRI ANA BIMA AU? AMA NI KILIO TU NA KAMA LA MKOPO HAPO SHESHE LAKE.!
No comments:
Post a Comment