Monday, November 30, 2009

KATUNI YA LEO!

Ni kweli kabisa, kwa watu wanene huwa wanaachwa hivihivi kwenye daladala, ukiwa mnene huwa ni shida sana kwa makonda wa daladala, maana unawabania nafasi. Nimewahi kuona hii Dar wakiacha mtu hivihivi kwasababu ni mnene sana, hadi huruma kwa watu wa nene.

No comments:

WATEMBELEAJI