KUCHEZA MPIRA KWA VIJANA NI MHMU SANA KATIKA MAISHA.
Nakumbuka enzi hizo kijijini kwangu, lazima kila jioni kucheza mpira ilikuwa safi sana hata kwa viungo vya mwili, pia kwa magonjwa ilikuwa si rahisi kuugua ovyo ovyo. Kwa vijana ni mhimu sana kucheza mpira, pia kwa mazoezi mengie kwa mwili na kwa afya ni mhimu sana.
-Baraka.
No comments:
Post a Comment