KWELI USINGIZI NI KIBOGO KWA KILA MTU MKUBWA KWA MDOGO.
Hebu cheki sasa hapa usingizi ulivyo wakamata viongozi wakubwa wakati Rais Kikwete akimwaga sera zake kuwahutubia wananchi, nao viongozi wengine wakimwaga usingizi wao kwa kupitiwa tu. Usingizi hauna utani ukikubana utakuumbua.
No comments:
Post a Comment