Wednesday, November 25, 2009

MARAIS WETU WA TANZANIA NA WAKE ZAO.

Kwa wale ambao hawawafahamu ni hawa: Toka kushoto, Mh.Mkapa, Mama Mwinyi, Mama Kikwete, Mh.Kikwete, Mama Mkapa & Mh.Mwinyi. Pamoja na hawa waliopo nasi bado, lakini Baba wa Taifa letu Mwl.Julius Kambarage Nyerere hayupo nasi ki mwili lakini kiroho yupo nasi daima....tutakukumbuka daima Baba wa Taifa Mwl.Julius Nyerere kwa mema mengi uliyoyafanya kwa Taifa letu.

No comments:

WATEMBELEAJI