Wanataka kuanzisha kwenye ndege nafasi za kusimama na kukaa kwa kuangaliana kama zile ndege za kijeshi zilivyo, sijui itakuwaje zile za wasafiri wa kawaida. Mashirika mbalimbali ya ndege zifanyazo safari Ulaya, yaani safari za karibu karibu, wameomba hivyo, sijui sasa kama watakubaliwa. Yetu macho na masikio tu kuona kama watafanikiwa, na wakifanikiwa itakuwa kama daladala tena..duu!!!!
No comments:
Post a Comment