Monday, December 7, 2009
KAMA NI KWELI NANI WA KULAUMIWA NCHINI?
RED BULL, huuzwa katika maduka makubwa (Supermarkets) na madogo (Retail shops) katika nchi ya Tanzania na watu wazima na watoto wengi wanamazoea ya kunywa kinywaji hiki ambacho kinaweza kusababisha kifo! Kemikali zinazopatikana katika kinywaji cha RED BULL zilitengenezwa maalum katika maabara za kijeshi za Marekani kwaajili ya kutuliza mzuka wa maaskari wao wakati wakitekeleza mauaji ya kikatili sana dhidi ya wananchi wa Vietnam miaka ya sitini na sabini. Kemikali hizo zilitumika pia kama dawa ya kuwazindua watu waliozirai (''stress coma''). Hazikukusudiwa kutumiwa kama kinywaji au kilevi cha kawaida! Duniani kwasasa kinywaji hiki RED BULL huuzwa kama kitu cha kawaida kabisa, sasa je kweli kunamadhara makubwa mpaka ya kusabaisha kifo katika kinywaji hiki? Na nani wa kulamiwa?
-GLOBALPUBLISHERSTZ.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment