Sunday, December 13, 2009

KICHEKESHO CHA LEO!

Kuna Mmasai mmoja na mtu furani waliokuwa namazungumzo kama ifuatavyo:

MMASAI: Napenda sana gari aina ya TIKAAPU.

MTU: TIKAAPU ni gari gani?

MMASAI: Si ile gari nyuma nje, mbele ndani.

Yaani akimaanisha PICK UP!

No comments:

WATEMBELEAJI