Wednesday, January 6, 2010

MAMBO YA KUTELEZA KWENYE BALAFU N BALAA!!.


Namsifu jamaa yangu KALINGA huyu hapa kwenye picha wa huko Canada, yeye ameuweza mchezo huu mgumu wa kuteleza kwenye balafu.

PETER NA FAMILIA YAKE






AUSTRIA.

Mimi nilijaribu kuteleza kwenye balafu lakini nikashindwa mbali sana, mchezo huu una wenyewe ni mgumu sana. Mwaka jana nilimtembelea rafiki yangu Peter wakai kama huu huko Austria, alijaribu kunifundisha lakini hakufanikiwa, kwani sikuweza kujifunza hata kidogo, nilibakia kuanguka anguka tu. Namsifu sana jamaa yangu Kalinga wa Iringa, aishie huko Canada yeye anauweza mchezo huu. Hongera sana!



No comments:

WATEMBELEAJI