Friday, February 12, 2010

BARIDI YA MAFINGA - IRINGA SI MCHEZO!

Hapa nipo na washikaji wa Mafinga - Iringa, Agosti 2009. Naikumbuka baridi ya Mafinga si mchezo, ni baridi hasa! Utafikiri upo mitaa ya Mamtoni (Majuu) = Ugaibuni.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

nakubaliana nawe, lakini huku kiboko yake maana ukitoka tu nje midomo inapasuka yenyewe

Baraka Chibiriti said...

NI KWELI KABISA, ILA HATA MAFINGA SI MCHEZO. ASANTE KWA KUTEMBELEA KIJIJINI HAPA.

WATEMBELEAJI