Ni picha ninayoipenda sana kutokana na jinsi Dunia inavyoonekana ikiwa ''It's full glory'' ukilinganisha na mwezi ulivyo kama jangwa. Picha hii pia ina significance kubwa kutokana na kupigwa wakati wa vita baridi ambapo sisi wanadamu tungeweza kuteketeza hii sayari yetu nzuri na sehemu pekee tuwezayo kuishi ulimwenguni. Ijapokuwa sisi binadamu tuna fikra tofauti na maugomvi kibao. Hivyo tusikae tukasahau kuitunza na kuipenda hii Dunia, pia kupendana sisi kwa sisi bila maugomvi.
From a Distance, there is no black, white, red or yellow....only people!
No comments:
Post a Comment