Tuesday, February 16, 2010

KICHEKESHO CHA LEO!

KAMBARAGE NYERERE: Ah! ngoja nipunge upendo hapo nje kidogo, Mh! nani yulee anakuja, kama namfahamu! Ah! siamini RASHIDI! Waooo!!! SIMBA WA VITA!!!! Jamaa vipi za huku, hajambo MKAPA? KIKWETE amekua siku hizi? Eh vipi chama changu?

RASHIDI KAWAWA: Ah! Bwana niacha nipumzike, nina mengi sana! huko hamna chama ni ufisadi tu!!! Hivi nimeacha skendo, chama kimekwepa kodi mabilioni, Duh!!!! nikaona niishie zangu manaake ni kashfa tu!!!Nitakupa story zaidi baada tu ya kupumzika kidogo, yaani JULIUS utalia kabisa kwa nitakayo kueleza.

No comments:

WATEMBELEAJI