Tuesday, February 23, 2010

MMOMONYOKO WA MAADILI KATIKA JAMII ANGALIA VIDEO HII:

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Jamani kazi kwelikweli, Mnajua mimi nafikiri huu ni mwisho wa dunia. Ila hii tabia pia niliwahi kuona kule Madaba wamama walikuwa wananywesha watoto ulanzi ili wao wawe na muda kwa vile watoto baada ya kunywa walikuwa wakilala na hapo nsio mama anapata muda mwingi wa kupiga pombe. Maisha haya jamani!!

Baraka Chibiriti said...

YAANI SIJUI TUNAKOELEKEA, LABDA KAMA UNAVYOSEMA WEWE MWISHO WA DUNIA NDO UNAWADIA HIVYO. MAANA VITUKO KIBAO KILA KUKICHA VINAZIDI TU.

WATEMBELEAJI