Baadhi ya wananchi wa kata ya Ruvuma, Manispaa ya Songea wakiwa katika msululu kupima afya zao hasa; VVU/ UKIMWI na makohozi katika kilele cha maadhimisho ya siku ya kifua kikuu Duniani kilichoadhimishwa ki mkoa mtaa wa Ruvuma chini, Songea mjini. Leo Jumatano.
Kutoka kwa LUKWANGULE ENTERTAINMENT.
ROURCE; Juma Nyumayo.
No comments:
Post a Comment