Monday, March 29, 2010

MSIMAMIZI WA MATANGAZO IDHAA YA KISWAHILI DW ASTAAFU.

Msimamizi mkongwe wa matangazo ya idhaa ya kiswahili ya DW mjini Bonn, Bi Ever Klaue Machangu, amestaafu rasmi kazi baada ya kuitumikia DW kwa muda wa miaka 28. Bi Ever ambaye hapo kabla aliwahi kuwa pia mtangazaji waidhaa ya kiswahili ya DW wakati huo ikiitwa sauti ya Ujerumani mjini Cologne. Bi Ever ni mwenyeji wa Mkoa wa Kilimanjaro. Ndugu Watangazaji;
Kwa furaha naungana nanyi katika sherehe ya kumpongeza na kuagana rasmi na mwanazuoni mahariri na makini katika tasnia ya habari na utangazaji Bi Ever Klaue Machangu.

Wenu kwa staha;
Ray Ephraim Ndewingiya Njau
Mdau na mtetezi wa Kiswahili.
Dar es salaam - Tanzania.

No comments:

WATEMBELEAJI