Thursday, March 18, 2010

NAWATAKIENI WEEKEND NJEMA NA JUMPILI NJEMA!

Napenda kuwatakieni Weekend njema na Jumapili njema sana. Nasafiri kidogo kuelekea huko mjini Rome kwa siku mbili ki kazi, hivyo nitakuwa nimebanwa sana na majukumu. Baada ya hapo tutakuwa pamoja kama kawaida kuendeleza kijiwe hiki cha; KAZI YAKO NI JINA LAKO.

-ASANTENI SANA NA POLENI KWA USUMBUFU HUU.
Chibiriti.

No comments:

WATEMBELEAJI