Wednesday, March 31, 2010

ZIARA YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU PINDA NCHINI JAPANI.

Hapa ni Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Mizengo Kayanza Peter Pinda na mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania wakazi wa nchini Japani, Dr.Ally Yahaya Simba. Waziri Pinda katika ziara yake ya kikazi huko nchini Japani.

No comments:

WATEMBELEAJI