Friday, May 7, 2010

AJALI ZA BARABARANI ZAZIDI KUONGEZEKA TANZANIA.


Kila kukicha ni ajali ajali tuuu....na kumaliza watu, kwanini? Hata waseme ni ajali? Uzembe ni mwingi sana barabarani, kwahivi ajali zinaongezeka kila siku, hasa malori na mabasi yanaongoza kwa ajali Tanzania, sasa nini kifanyike ili kupunguza ajali hizi?

No comments:

WATEMBELEAJI