Monday, May 10, 2010

ANGALIA MELI HII IKIWA NCHI KAVU!

Jengo la Makao Makuu mapya ya Kampuni ya simu za mikononi Zain, lililopo makutano ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi na Kawawa, ni kivutio katika eneo lote la mitaa ya Morocco, kutokana na muonekano wake kuwa kama Meli.

-Kweli kabisa kwasasa Bongo ni Tambarare tuuu!!!!

No comments:

WATEMBELEAJI