PAMOJA NA RAFIKI CAPPO.
CAPPO, MIMI NA BAFFO. Tukifurahia ushindi wa Cesena - Modena 2-1. Bado mechi moja jumapili ijayo huko Piacenza ambapo tutakwenda kushabikia, kuipa nguvu Cesena ili iweze kufanikiwa kupanda Daraja la kwanza (Serie A) Tunamatumaini makubwa.Jana tena kijana kutoka Congo Malonga akapachika bao la ushindi, na mwenzie Mbrazili mweusi Do Prado. Magazeti leo yanasema vijana weusi waiokoa Cesena.
No comments:
Post a Comment