Thursday, May 6, 2010

HAKUNA CHA BURE HAPA KUSHANGAA LAZIMA ULIPIE!

Bata akisema; Hakuna cha bure hapa duniani kushangaa lazima ulipie. Mwana dada atakapofika nyumbani au akitaka kununua kitu, ndipo atakapo shangaa hela hamna, kumbe kaibiwa na bata!

No comments:

WATEMBELEAJI