Tuesday, May 4, 2010

KICHEKESHO CHA LEO!

Mateja fulani mitaa ya Tandika walikuwa wamenyuti maskani wakilalamika hali ngumu ya maisha, mmoja wao akatoa pendekezo; ''kama vipi nchi iuzwe alafu Wabongo tukaminye USA, mtu akivunja sheria anarudishwa Bongo, yaani Bongo ndo iwe jela!
Kwa hali iliyopo Bongo, kweli kabisa Bongo ndo iwe jela!

-Kazi kweli kweli...!!!

No comments:

WATEMBELEAJI