MBUNGE AMWAGA PIKIPIKI MKOANI SINGIDA.
Ni Mbunge Lazaro Nyalandu, (Singida Kaskazini), akimkabidhi kadi za pikipiki 27 zenye thamani zaidi ya Milioni 50 Mkuu wa Mkoa wa Singida, katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Polisi Singida.
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dr.Parseko Kone, akimkabidhi Kamanda wa Polisi Mkoa, Celina Kabula, msaada wa pikipiki 27 kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la Singida kaskazini.
Baadhi ya Polisi wakijaribu kuendesha pikipiki hizo.
-Habari na Picha kutoka kwa Hillary Shoo.
No comments:
Post a Comment