Shy Rose Bhanji anasema; Nikiwa Kijijini Muheza - Tanga....hawa ni Tripplets, kulwa, dotto na bato; natamani nami nipate wa kwangu kama hawa...please msinibeze kwani ukifanya hivyo ntakwambia ''ALIYEKUPA WEWE NDIYE ALIYENINYIMA MIMI''.
-Basi nasi tunakutakia kila jema ili ufanikiwe nawe uweze kuwapata kama hao.
Na asante sana Rose kwa picha hii nzuri!
No comments:
Post a Comment