Wednesday, June 30, 2010

2010 KIKWETE T-SHIRTS....KAMA KAWAIDA!

Mtoto wa Rais Jakaya Kikwete, Miraji Kikwete (kushoto) akiwa na mdau akionyesha kwa mbwembwe flana maalum za Kikwete 2010.

Naona kampeni zimeanza rasmi, na familia inaonekana kumpa kampani ya maana''Mzee mzima''.

No comments:

WATEMBELEAJI