Tuesday, June 22, 2010

BONGO YETU...KUFA HUFI ILA CHA MOTO UTAKIONA!

Angalia sasa hapa, mtu akifa ghafla wanasema kalogwa, kumbe ni kubeba mizigo kushinda uwezo wa mwili. Lakini basi ndo maisha yetu haya hatuna jinsi....lakini mimi napenda sana wawabebeshe viongozi wetu lumbesa kama hisi, walau kwa dakika chache tu! Nitafurahi sana.

No comments:

WATEMBELEAJI