Wednesday, June 23, 2010

DAR ES SALAAM CITY - TANZANIA.


1 comment:

mangi said...

Hapa ni jirani kabisa na ofisini kwetu mtaa wa mkwepu na samora.Jengo linalongara ni la enzi hizo lakini limefanyiwa ukarabati mkubwa na TRA na kuliacha likiwa na muonekano wa awali.Kwa majengo zamani yenye kumbukumbu za kihistoria yanapaswa kukarabatiwa bila kuathiri muonekano wake wa kihistoria.

WATEMBELEAJI