Friday, June 25, 2010

HII NI HALI HALISI YA VIJIJINI...UKUBALI USIKUBALI!!

Bibi Maria Joakim (81) leo asubuhi amepigwa picha hii maeneo ya Mtawala, Mkoani Morogoro, akijikongoja kuvuka barabara na mzigo wa kuni kichwani aliotoka kuuchukua nje ya mji, kwaajili ya kupata Nishati ya kupikia. Hii ndio hali halisi ya maisha ya wazee wetu walio wengi vijijini.

No comments:

WATEMBELEAJI